Friday, October 9, 2015

Lowassa na CHADEMA waweweseka, waigeuza Conakry kuwa Arusha



Hizi picha Chadema wansambaza kuwa ni zao za jana Arusha sio kweli umeiona original ya Conakry Guinea



Hivi nyie UKAWA na Lowassa, mnapata faida gani kusema uongo katika zama hizi za watu wenye akili kubwazzz?

No comments:

Post a Comment