Sunday, October 4, 2015

LOWASSA AVAA PETE YA FREEMASON


Mwaka huu ndio mwaka wa kuona mengi. Sasa Lowassa anavaa Pete ya Freemason kama ishara kuwa yeye ni mmoja wao. Hiki kikundi cha Masonic ni cha waabudu Shetani na wanatumia nguvu za giza kupata uongozi. 

Hapa chini tunamwona Sir Chande akiwa na Sumaye ambaye na yeye inasemekana kuwa ni mmoja wao.



Tanzania, kwanini tumchague kiongozi ambaye ni Freemason na aifanye nchi kuwa chini ya imani za Mashetani?

Mchague Mheshimiwa John Magufuli ambaye hana ushirika na hiki kikundi cha kuabudu mashetani "Freemason" na anamtegemea Mungu na ataiweka nchi katika misingi ya isiyo na ushirika na hizi imani za kimashetani. 

No comments:

Post a Comment