Thursday, October 22, 2015

LOWASSA ASHINDWA VIBAYA SANA KUJIBU MASWALI HAYA KATIKA MAHOJIANO NA BBC....


1. Jinsi ya Kutoa Elimu bure.... LOWASSA ameshindwa kujibu ni namna gani atafanya elimu bure. Anadai tutakopa against Gas reserves kama Ghana walivyofanya. Nilijua UKAWA wanakuja kupubguza deni la taifa, kumbe wanakuja kuongeza deni. 

2. Jinsi ya Kupambana na Ufisadi...hasa Ufisadi wa Viongozi wakubwa...asema ni SWALI GUMU
NA REFU SANA......


3. Kaulizwa, ni madadiliko yapi unayataka....lakini Lowassa alishindwa kabisha kusaidia hoja yake ya mabadiliko.. na kubakia kusema ni mabadiliko tu bila ya kutufahamisha ni yapi hasa.

4. Mheshimiwa, miezi michache ulikuwa CCM na uliziamini sera za CCM  kama sio kukatwa ungekuwa unatekeleza sera za CCM: JIBU LA Lowassa: Umenionea.

5. Mheshimiwa mfano ukishindwa uchaguzi huu utafanyaje: JIBU LA LOWAASA: Nitaenda kuchunga Ng'ombe.

HUYU MTU NI HOVYO KABISA, AKACHUNGE NG'OMBE TU... KESHO MJIANDAE KUPATA MAJIBU MAKINI KUTOKA KWA # RAIS_MAGUFULIIIIII

Maswali ya Zuhura Yunus yalikuwa magumu mno kwa lowasa, kadai anamuonea na maswali
magumu magumu........kwakweli kama kuna nchi jirani zinafuatilia BBC Swahili watakuwa wamecheka kweli kuona kwamba TZ kuna mtu wa aina ya Lowasa amepewa nafasi ya kujaribu kuwa rais wetu...... 


Lowassa ashindwa vinaya sana kujibu maswali ya madai yake kuwa Elimu itakuwa bure. Hivi huyu jamaa hana blue print ya sera zake? Hivi utapanga vitu bila ya kujua nini kinahusika katika mipango yako?

No comments:

Post a Comment