Kura za Ushindi za Mh. Magufuli HIZI HAPAA
UKAWA: Hesabu za kura hizi hapa - Usisubiri mpaka 25 Oktoba 2015
Watanzania ni vizuri mkumbuke kwamba Raisi anapatika kwa KUPIGIWA KURA sio USHABIKI.
Magufuli na Lowassa wote wanajaza Mikutano kwenye miji hiyo hiyo. Sasa hesabu za watakao piga kura ziko kama ifuatavyo:-
Mhesabu ya uchaguzi 2015 ni Haya:-
JUMLA ya Waliojiandikisha kupiga kura 2015 ni 24,001,134 (Milioni ishirini na nne na elfu mia moja na thelathini na nne)
Wanachama hai wa CCM ni: 7,401,134 (milioni saba laki nne elfu moja na mia na thelathini na nne)
Wanachama hai wa CHADEMA ni: 3,271,491 (milioni tatu laki mbili elfu sabini na moja mia nne na tisini na moja)
Wanachama hai wa CUF ni: 1,695,667 (milioni moja laki sita elfu tisini na tano na mia sita sitini na saba)
Wanachama hai wa vyama vilivyobaki ni 381,867 (laki tatu elfu themanini na moja na mia nane sitini na saba)
MAHESABU YA KURA:
JUMLA ya wapiga kura: 24,001,134
kama kila mpiga kura akipiga kwa party line:
CCM: 7,401,134 (30.83%)
CHADEMA (UKAWA sio chama): 3,271,491 (13.63%)
CUF: 1,695,667 (7.01%)
WENGINE: 381,867
12,750,159 (53.12% ya wanachama hai na vyama vyao)
VERY LIKELY
sasa scenario kama turnout ikiwa juu 75% kwa mfano 18,000,850, na tukagawa hapo waliobaki nusu kwa nusu, matokeo yatakuwa hivi:
CCM: 8.5 milioni (47.22%)
CHADEMA: 4.5 milioni (25.00%)
CUF: 2.9 milioni (16.11%)
WALIOBAKI: 1.6 milioni (8.88%)
JOHN Magufuli atakuwa Raisi (50.25%) - (margin of error 3.25+/-) - KURA 9,045,427 jumla
E. Lowassa, (44.36%) (margin of error 3.25+/-) - KURA 7,985,177 jumla.
(ukiweka kura za CUF na CHADEMA pamoja kama UKAWA.)
ANGALIZO:
Nawashauri CCM waache michezo na sarakasi maana WATASHINDA tu, UCHAGUZI huu ni kuwakumbusha CCM kwamba KUNA SIKU WATATOKA ila sio mwaka huu 2015.
Mungu ibariki Afrika
Mungu ibariki Tanzania.
No comments:
Post a Comment