Wednesday, October 7, 2015

JOHN POMBE MAGUFULI NI CHAGUO LA MUNGU - UMOJA WA MAASKOFU TANZANIA (UMT).


Wakati taifa likiwa katika mchakato wa kampeni za uchaguzi umoja wa maaskofu Tanzania umetoa tamko la umoja wao kuwa Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM Mh John Pombe Magufuli ni chaguo la Mungu kwa watanzania kwa kuwa sifa yake ya utendaji na maadili yasiyo na mashaka.

Wakati umoja huo ukitoa msimamo wao huo upande wa pili wa UKAWA wanatembea kwa uwoga uwoga wakimuogopa DR WILLBROAD PETER SLAA kwa kuwa anaweza kuwalipua kwa maovu yao. Aidha, hakika wanachama wa CHADEMA wanamfahamu vizuri Dr Slaa kwa ujasiri na uadilifu wake huku akiwa si mvumilivu wa kukemea maovu pamoja na kuwakataa waovu.,ikumbukwe DR SLAA kipindi kilichopita amewakamea na kuwahatadharisha watanzania kuhusu kuwachagua CHADEMA kushika dola kwa kuwa chama kinaongozwa na mafisadi.

Ndugu wanachadema nawaomba tumuenzi Dr Slaa kwa kuwa ni kiongozi jasiri na shupavu na ni mtu wa kuigwa hapa Tanzania. Hongera sana Dr Slaa 

No comments:

Post a Comment