Friday, October 16, 2015

Dr Magufuli akiwa Unguja, hii ndio CCM ninayo ujua









Hapa ni Unguja kwa mnao shangaa haya mafuriko. 

Kwa wale ambao bado wapo ndotoni na wanaifikiria UKAWA, natanguliza pole zangu nyingi kwao. Hii ndio CCM ninayo ifahamu mimi, haina mpinzani Tanzania. Habari ya mujini sasa ni kusubiri Mh. Magufuli kuapishwa Urais, maana ushindi mnono anausubiri.

Mr. Chin

No comments:

Post a Comment