Tuesday, October 13, 2015

Dr Magufuli akiwa Nangaru katika jimbo la Mchinga aitwa Rais baada ya kuisambaratisha UKAWA na Lowassa.











Haikupita dakika moja wakati Mh. Magufuli akihutubia na kuanza kuitwa Rais Rais Rais wakati akihutubia umati wa wananchi wa Nangaru katika Jimbo la Mchinga. Huu ni ushahidi tosha kuwa Wananchi wamechoshwa na usanii wa UKAWA na mgombea wao ambao wamekosa sera na kubakia kutukana na kutoa maneno machafu kwa CCM.

"Hapa ni Kazi Tu" hayo maneno yalisikia yakisemwa na Mgombea wa Urais kupitia kiti cha CCM Mheshimia John Magufuli huku akimwaga SERA Kali ambazo hazina upinzani.

Mpe kura yako Mh. John Magufuli tarehe 25 October na ichague CCM katika kila kura yako.

Na Mr. Chin 

No comments:

Post a Comment