News reports and headlines from Africa updated with breaking news.
Thursday, October 15, 2015
Dr Magufuli aisimamisha Ukonga
Huyu ni Rais wetu wa Tano, watake au wasitake, habari ndio hii. Hapa akiwa Ukonga Dar Es Salaam, Hakika Mh. John Magufuli ni kipenzi cha Watanzania. Mpigie Kura yako ya Ndio Mh. John Magufuli.
Wakazi wa Ukonga wamzuia Mh. Magufuli. HAPA KAZI TU
No comments:
Post a Comment