Saturday, October 10, 2015

CHADEMA SASA CHALI




Kuna kila dalili za CHADEMA kupoteana wenyewe kwa wenyewe, majimboni hali ni ngumu kwa wagombea, zomeazomea nayo imeshika kasi, maelfu ya wanachama wake wakimbilia CCM chukulia mfano ile ya Nyamagana wafuasi zaidi ys 3500, Mtwara 1900, Geita zaidi ya 3000, Arusha 10,000 nk. 


Zaidi ya hapo, mgombea wao amuekuwa akihepa kuhutubia baadhi ya maeneo na kuja na visababu ambavyo havina maantiki. Huu ni unshaidi tosha kuwa UKAWA sasa ni chali, hawana maono wale hawana SERA zaidi ya kupiga makele elimu elimu elimu huku Tnaznaia ikiwa na Vyuo vikuu 50 na ushehe. Hivi CHADEMA sera yao ni ipi, maana mpaka leo wanasema nedeni kwenye mtandao mkaisome. 

No comments:

Post a Comment