Saturday, October 17, 2015

CCM: Asante sana Mwanza, tumeona, tumewasikia na tutatekeleza ahadi zetu















Haya mafuriko sio ya kutengeneza kama yake ya Lowassa ambayo walitumia picha za Conakry Guinea. CCM haina ushindani Tanzania yote. Mwanza asante sana na huu ujumbe umesha wafikia UKAWA. 

Hapa ni Kazi Tu,

Mr. Chin   

No comments:

Post a Comment