Tuesday, October 13, 2015

Mama Janeth Magufuli akifanya kampeni








Sehemu ya maelfu ya wananchi katika uwanja wa Shule ya Sekondari ya Chato mkoani Geita tayari mkutano wa kampeni 

Sehemu ya maelfu ya wananchi katika uwanja wa Shule ya Sekondari ya Chato mkoani Geita tayari mkutano wa kampeni.

Kampeni zinaendelea kila kona ya Tanzania. Mama yetu ambaye ni next first lady akihutubia umati wa watu ambao wote walisema kuwa, KURA ZAO watampa Dr. John Pombe Joseph Magufu. 

Na Mr. Chin

No comments:

Post a Comment