Friday, October 16, 2015

Magufuli asaini mkataba wa kujenga Flyover kwenye makutano ya Julius Nyerere Road na Nelson Mandela Road TAZARA







Mh. Magufuli sasa amesign mtakataba wa ujenzi wa flyover kwenye makutano ya Julius Nyerere Road na Barabara ya Mandela, Dar Es Salaam.

Mheshimiwa Magufuli ambaye bado ni Waziri wa Ujenzi na Mgombea Urais kwa kupitia kiti cha CCM, amehahid kuigeuza Tanzania na kuwa nchi bora Africa kama atachaguliwa na kuwa Rais wa Tano wa Jamuhuri ya Tanzania.

Mpigie KURA yako ya NDIO Mheshimiwa Magufuli.

No comments:

Post a Comment