Monday, October 12, 2015

Lowassa akimbiwa na wana CHADEMA


Teyari Makamanda wa CHADEMA wamesha anza kukicha chama cha CHADEMA na kujiunga na TEAM MAGUFULI. Hii ni ishara njema kwa Mh. Magufuli kuwa anakubalika kila kona ya Tanzania na hata ndani ya Umoja wa UKAWA. Majuzi tu tumeshuhudia Mh. Lyatonga Mrema akimpigia debe Magufuli kitu ambacho hakijawai tokea katika historia ya uchaguzi Tanzania na nje ya Tanzania.

Mpe kura yako Mh. Magufuli ambaye ni chaguo la Mungu

No comments:

Post a Comment