Saturday, October 31, 2015
Nyumbu ni mnyama mwenye akili ndogo kuliko wote
NYUMBU ni wanyama wa ajabu, nadhani ni wanyama walio na akili ndogo kuliko wanyama wote wa porini. Wanyama hao wakishaamua kufanya kitu watakifanya tu bila kujali ni madhara gani yatatokana na uamuzi wao.
Mfano Nyumbu wanaweza kuwa na kiu wakaamua kwenda kunywa maji kwenye mto uliojaa mamba. Kwa wingi wao watafika mtoni na kuanza kunywa maji huku mamba wenye njaa kali wakijikamatia nyumbu mmoja mmoja wakizamisha majini na kujitafunia. Nyumbu waliobaki wataendelea kunywa maji bila kujali yanayowakuta wenzao, wakimaliza kunywa maji wanaondoka zao, lakini wakisikia kiu tena wanarudi palepale bila kukumbuka kuwa kuna wenzao waliotafunwa, na wanaendelea kutafunwa wengine!
Au wakati mwingine Nyumbu wanaweza wakaamua kuvuka mto wenye kina kirefu, kwa kuutegemea wingi wao, wataingia kwenye mto ambapo karibu nusu yao watabaki maiti katika mto huo wenye kina kirefu huku wengine wakifanikiwa kuvuka.
Daima hayo ndiyo maisha ya Nyumbu, kukilenga ili wakitimize kile wanachokiangalia kwa wakati huo bila kujali madhara ya baadaye.
Tofauti na Nyumbu binadamu tumejaliwa akili, pamoja na matatizo na shida tunavyoweza kuwa navyo, katika kuvikabili ni lazima tupime madhara na faida ya kufanya hivyo. Kama madhara yanazidi faida tunaona bora tuache. Ni heri mtu kubaki na shida au matatizo kuliko kutoa uhai kwa tamaa ya kutaka kumaliza matatizo au shida.
Je, Watanzania tunakubali kugeuzwa Nyumbu?
UKAWA hawajui kazi ya Mahakama ya ICJ
Poor Lowasa tofauti kati ya ICC na ICJ , ICC ni international criminal court lakini ICJ inahusu migogoro kati ya nchi moja na nchi nyingine ambao ni member Wa UN
Na Mr Chin
Kijani: Sehemu ambazo CCM imepata kura nyingi.

Bluu: Sehemu ambazo upinzani umepata kura nyingi.
NI NDOTO ZA MCHANA KUDHANI KUWA CHADEMA ITASHINDA KESI YA UCHAGUZI HUKO ICJ.
Kuna mahali huku kwenye mitandao ya kijamii ambapo nimeona "Makamanda" wakitoa taarifa kwa wanachama, mashabiki, na wapenzi wa UKAWA kwamba Mwenyekiti wa CHADEMA Ngazi ya Taifa Bw. Freeman Mbowe na Mhe. Edward Lowassa wamekwenda Kufungua mashtaka kwenye mahakama ya kitamataifa ya ICJ na kwamba wadau wa UKAWA wawe wapole kwani mafanikio yatapatikana.
Mafanikio yanayotegemewa hapo ni kwa CHADEMA kushinda Kesi na hivyo kutolewa kwa hukumu ambayo 'itawabeba' CHADEMA.
Bila ya kupotezeana muda na kupeana matumaini hayo ya UKAWA yasiyo na kichwa wala miguu ni kwamba, hapo hakuna kesi kwa sababu;-
1. Kwanza kabisa Mahakama ya ICJ HAINA Mamlaka ya kushughulika na kesi zilizopo kwenye mfumo wa sheria za ndani na Katiba za Nchi wanachama kwa sababu kubatilisha Katiba ya Nchi au Sheria zitokanazo na Katiba ya Nchi Mwanachama ni kuingilia Mamlaka ya Nchi husika na ilhali mamlaka ya nchi inapaswa kulindwa na kuheshimiwa bila ya kuingiliwa na Mtu yeyote au taasisi yoyote. Mamlaka ninayoizungumzia hapa ni "Sovereignty" na siyo vinginevyo. Kazi za Mahakama ya ICJ ni
(a) Kwanza, Kushughulikia kesi za kimataifa zinazohusu Nchi wanachama. Kwa maana hiyo Nchi ndiye mshtaki au mshtakiwa na sio vinginevyo. Mf. wa Mashauri ya staili hiyo ni i.e Mgogoro wa Mpaka kati ya Malawi na Tanzania.
(b) Pili, Kushughulikia kesi za taasisi za jumuiya za kimataifa hizi taasisi kwa lugha ya kiingereza tunaziita "Public International Organizations" kwa maana ya kwamba uwepo wa hizi taasisi unatokana na makubaliano ya Nchi mbili au zaidi katika kuanzisha jumuiya. Mf. wa taasisi ni Shirika la Afya Duniani (WHO) Shirika la UKIMWI (UNAIDS) n.k Mfano wa hizi jumuiya za kimataifa ni
(i) Jumuiya zinazotokana na miktadha ya kijiografia yaani "Geopolitical Intergovernmental Organizations" Mfano; Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za Kusini Mwa Jangwa la Sahara (South African Development Community = SADC) Jumuiya ya Nchi za Ukanda wa Maziwa Makuu (International Conference on Great Lakes Region = ICGLR) Jumuiya ya Afrika Mashariki (East African Community = EAC) n.k
(ii) Jumuiya zinazotakana na makubaliano ya kimataifa kwa maana ya Bilateral and Multilateral Relations) hapa tuna Jumuiya kama vile Umoja wa Mataifa (United Nations = UN) na nyinginezo
Sasa hizi jumuiya huanzisha taasisi zake ambazo malengo ya hizo taasisi ni kufanikisha uetekezaji wa shughuli na kufikia malengo makuu ya jumuiya husika ambapo taasisi anzishwa zimeasisiwa kwazo.
Kwa Mantiki hiyo sasa jumiya hizi na taasisi zake ndio hufungua mashauri kuko ICJ na siyo taasisi za ndani ya nchi kwa maana ya "Local Institutions"
(c) Tatu, ICJ hushulikia kesi za taasisi binafsi za kimataifa yaani (Private International Organizations) Taasisi binafsi za kimataifa ni zile taasisi ambazo usajili wake umetokana na sheria za nchi A lakini taasisi hiyo inafanya kazi katika Nchi B sasa taasisi inapotoka katika Nchi A na kwenda kufanya kazi katika Nchi B huko Nchi B hiyo taasisi itafahamika kama taasisi binafsi ya kimataifa kwa maana ya kwamba inafanya kazi katika nchi ambapo usajili wake hautokani na sheria za nchi hiyo. Haya huwa ni makampuni au mashirika yasiyokuwa ya kiserikali Mf. Richmond mliyoambiwa n.k
Sasa ikitokea kwamba ile taasisi ya kigeni iliyosajiliwa kama taasisi ya kimataifa kule Nchi B lakini asili yake ni Nchi A na kwamba katika kufanya kwake kazi huko Nchi B iliwahi kushtaki au kushtakiwa kwa mujibu wa sheria za Nchi B lakini wakati yenyewe inatokana na sheria za Nchi A na haikuridhika na hukumu iliyotolewa kwa mujibu wa Nchi B sasa inaweza kwenda ICJ ili kuomba mapitio ya hukumu (Judgement review), au kukata rufaa (Appeal) kwa sababu haijaridhika na hukumu za sheria za Nchi B kutokana na yenyewe kuasisiwa katika mfumo wa sheria za Nchi A kwa hiyo hapo sasa ICJ wanasikiliza shauri husika na kulitolea maamuzi.

Friday, October 30, 2015
RAIS MTEULE WA TANZANIA DK. JOHN MAGUFULI AKABIDHIWA CHETI CHAKE CHA USHINDI LEO
Rais Mteule wa awamu ya tano, Dk. John Magufuli akiyonyesha hati ya ushindi wa Urais, baada ya kukabidhiwa leo na Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji Mstaafu Damian Lubuva, katika hafla ya kukabidhi hati hiyo iliyofanyika leo katika Ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam. Dk. Magufuli amekabidhiwa cheti hicho kufuatia kuibuka mshindi wa kiti cha Urais katika matokeo yaliyotangazwa na NEC, jana, ya Uchaguzi Mkuu uliofanyika Oktoba 25, mwaka huu. Kushoto ni Makamu wa Rais Mteule, Mama Samia Suluhu Hassan.
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji Mstaafu Damian Lubuva akimkabidhi hati ya Ushindi Makamu wa Rais Mteule, Mama Samia Suluhu Hassan, katika hafla iliyofanyika leo katika ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Dk. John Magufuli
Mama Samia akionyesha hati baada ya kukabidhiwa
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji Mstaafu, Damian Lubuva akiwapongeza Rais Mteule Dk. Magufuli, na Makamu wake Mteule,
Rais Mteule wa Tanzania, Dk. John Magufuli akimuonyesha hati ya ushindi, aliyekuwa Mgombea Urais kwa tiketi ya ACT-Wazalendo, Anna Mghwira, baada ya kukabidhiwa hati hiyo na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) leo katika ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam
Rais Jakaya Kikwete akimpongeza Rais Mteule, Dk. John Magufuli, baada ya kukabidhiwa hati ya ushindi wa kiti cha Urais
Dk. Magufuli akimpa akishike cheti hicho Rais Jakaya Kikwete
'Sasa ni huyu" Rais Kikwete akichombeza wakati alipoonyeshwa cheti cha ushindi wa Urais na Dk. Magufuli
Rais Mteule Dk. Magufuli akimpongezwa na Mkewe Mama Jannet Magufuli, baada ya kukabidhiwa hati ya ushindi wa Urais. Kushoto ni mke wa Rais Mama Salma Kikwete. na kulia ni Makamu wa Rais Mteule Mama Samia Suluhu Hassan
Dk. Magufuli akipongezwa na Dk. Waziri Mkuu, Mizengo Pinda. Katikati yao ni Rais Jakaya Kikwete na Kushoto ni Spika wa Bunge Anna Makinda
Mama Samia akipongezwa na Mama Salma Kikwete. Kushoto ni Rais Kikwete
Dk. Magufuli akipongzwa na Makamu Mwenyekiti mstaafu, wa CCM, Pius Msekwa. Katikati yao ni Rais Mstaafu Ali Hassan Mwinyi
Rais Mteule wa Tanzania, Dk. John Magufuli akipongezwa na Rais Mstaafu wa Nigeria Goodluck Jonathan, baada ya kukabidhiwa hati
Dk. Magufuli akionyesha hati yake kwa wananchi baada ya kukabidhiwa hati hiyo
Wadau wakiwa ukimbini
Makamu wa Rais Mteule, Mama Samia akiwapungia wananchi mkono baada ya kupewa hati yake
Mama samaia akiwasalimia wananchi ukumbini baada ya kukabidhiwa cheti cha ushindi
Aliyekuwa Mgombea Urais kwa tiketi ya ACT, Anna Mghwira akimpongeza Dk. Magufuli, kwa ushindi aliopata
Picha ya pamoja
Picha ya pamoja
Waziri Mkuu Mizengo Pinda akimpongeza Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji Mstaafu Damian Lubuva baada ya kukabidhi cheti cha Usnhindi wa Urais kwa Dk. Magufuli. Wapili ni Rais Kikwete na kulia ni Mama Samia
Picha ya pamoja, Dk. Magufuli, Rais Kikwete, Mama samia na Jaji Mstaafu Lubuva
Picha ya pamoja
Rais wa Zamani wa Naigeria Goodluck Jonathan akiwa katika picha ya pamoja na Dk. Magufuli, Rais Jakaya Kikwete, Mama Samia na Spika wa Bunge Anna Makinda
Rais Mstaafu Ali Hassan Mwinyi akimpongeza Dk. Magufuli
Picha ya Pamoja, Dk. Magufuli na Viongozi wa dini waliohudhuria
Mwenyekiti wa IPP Reginarl Mengi naye alikuwepo. Hapa anateta jambo na Mkuu wa Majeshi Jenerali Davis Mwamunyage
Wabungewateule, Dk. Faustine Ndungulile wa Kigamboni na Nape Nnauye wa Mtama wakipongezana baada ya kukutana kwenye hafla hiyo
Nape akisalimiana na Naibu Spika wa Bunge, Job Ndugai kwenye hafla hiyo
Wajumbe wa iliyokuwa Kamati ya Kampeni za CCM, Mwenyekiti wa Jumuia ya Wazazi, Abdallah Bulembo na Katibu wa NEC, Uchumi na Fedha Mama Zakiah Meghji wakisalimiana kwa bashasha na Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye ambaye ni Mbunge Mteule wa Mtama wakati wa hafla hiyo.
Baadhi ya wageni waalikwa wakati wa hafala hiyo
Mwenyekiti wa IPP Reginald Mengi akimsikiliza kwa makini Katibu wa NEC, Itikadi na uenezi Nape Nnauye wakati wa hafla hiyo.
Baadhi ya viongozi wa CCM, wakiwa kwenye hafla hiyo
Makamu Mwenyekiti wa CCM, Philip Mangula akisalimia baadhi ya viongozi baada ya kuwasili kwenye hafla hiyo
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Bernard Membe akizungumza jambo na Katibu Mkuu Kiongozi, Ombeni Sefue wakati wa hafla hiyo
Baadhi ya viongozi mashuhuri wakiwa kwenye hafla hiyo
Aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Katiba Jai Mstaafu Sinde Warioba, akiwa na Makamu Mwenyekiti Mstaafu wa CCM, John Malecela wakati wa hafla hiyo
Makamu Mwenyekiti Mstaafu wa CCM, Pius Msekwa akizungumza na Rais Mstaafu Ali Hassan Mwinyi wakati wa hafla hiyo. Wengine ni Spika wa Bunge anne Makinda na Waziri Mkuu Mizengo Pinda
Hali ya meza kuu ya Viongozi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi na waliokuwa wagombea wa Urais katika Uchaguzi Mkuu uliofanyika Oktoba 2015, ilivyokuwa kabla ya shughuli kuanza
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akishauriana jambo na mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete meza kuu.
Rais Mteule, Dk. John Magufuli akiondoka kwenye Ukumbi wa Diamond Jubilee baada ya kukabidhiwa cheti chake cha kushinda Urais
Mama akiwa na mtoto wake wote wakiwa wamevalia nguo za CCM, wakati wa mapokezi ya Rais Mteule Dk. John Magufuli kwenye Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam
Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akizungumza kumkaribisha Rais Mteule, Dk. John Magufuli kuzungumza na hadhara kwenye sherehe fupi ya mapokezi iliyofanyika leo kwenye Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam
Rais Mteule Dk. John Magufuli akizungumza na wananchi katika mapokezi yaliyofanyika leo kwenye Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam
Wananchi waliompokea Rais Mteule Dk. John Maguli wakishangilia wakati wa mapokezi hayo Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam

Rais Mteule Dk. John Magufuli akiwahutubia wananchi hao
Makamu wa Rais Mteule, Mama Samia Suluhu Hassan, akionyesha cheti chake cha ushindi
Dk. John Magufui akizungumza na wananchi huku akiwa na Makamu wake wa Rais Mteule Mama Samia
Rais Mteule wa Tanzania, Dk. John Magufuli akimtambulisha mkewe, Mama Janneth Magufuli wakati wa hafla hiyo.
Rais Jakaya Kikwete akiwa na Rais Mteule Dk. John Magufulu wakati wa hafla hiyo
Rais Jakaya Kikwete akiwa na Rais Mteule Dk. John Magufulu wakati wa hafla hiyo ya mapokezi iliyofanyika leo kwenye Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam. PICHA ZOTE NA BASHIR NKOROMO

Subscribe to:
Posts (Atom)